Karibu PesaX Tanzania ni Taasisi binafsi ya utoaji mikopo kwa njia ya mtandao (online) inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa pamoja na kutoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi nchi nzima.
Kupitia tovuti hii tunatoa mikopo kuanzia shilingi 500,000 (Laki tano) hadi shilingi 5,000,000 (Milioni Kumi) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo.
▶ Mteja lazima akamilishe taarifa zake ili kuweza kukizi vigezo na aweze kupatiwa mkopo ndani ya dakika 30 tu.
▶ Mkopo hauwezi kutolewa endapo taarifa za mteja sio sahihi.
▶ Kiasi cha akiba husimama kama riba ya kiasi cha mkopo atakaochukua mteja.
▶ Kiasi cha akiba kinategemeana na kiasi cha mkopo anaochukua mteja.
▶ Ni sharti la lazima kwa kila mkopaji kuweka akiba ndipo apatiwe mkopo.
▶ Pesax tumeweka njia rahisi ya kupata mkopo kwani tumempa uhuru kila Mtanzania kujiunga na huduma kwa mapendekezo (hiari) yake kupitia simu au kompyuta akiwa mahali popote na muda wowote akapata mkopo wake ndani ya dakika 30 bila usumbufu wowote ule.
Huduma hii ya mkopo ni ya Uhakika , Salama na haraka zaidi. Hatuhusiki na ubadhilifu wa aina yeyote ile kwa wateja wetu, mkopo huu hutolewa ndani ya dakika 30 Punde mara baada ya mteja kuweza kukamilisha taratibu zote (vigezo na masharti).
Kiasi cha akiba ni moja ya kigezo ambacho kitamuwezesha mteja kuweza kupatiwa mkopo , Kiasi hiki cha akiba hutolewa na mteja kabla ya kupatiwa mkopo na kiasi hiki ndio riba ya mkopo atakaochukua mteja kwa kipindi chote cha mkopo.
Ndiyo, kila huduma ya mkopo huwa na riba. Hata hivyo, katika utaratibu wetu, mteja hulipa deni lake kwa urahisi bila usumbufu. Kiasi cha akiba anachoweka kabla ya kupata mkopo ndicho kinachochukuliwa kama riba ya mkopo. Hivyo, mteja atarejesha kiasi alichokopa pekee.
▶ Rejesho la mkopo kuanzia laki tano hadi milioni moja ni shilingi 50,000 kwa mwezi na Rejesho la mkopo kuanzia shilingi milioni 2 hadi milioni 5 ni kati ya (100,000 hadi 250,000)
▶ LAKI TANO (500,000) Akiba 65,000 Rejesho Kila mwezi 50,000 Kwa miezi 10
▶ LAKI SITA (600,000) Akiba 75,000 Rejesho kila mwezi 50,000 kwa miezi 12
▶ LAKI SABA (700,000) Akiba 85,000 Rejesho kila mwezi 50,000 kwa miezi 14
▶ LAKI NANE (800,000) Akiba 95,000 Rejesho kila mwezi 50,000 kwa miezi 16
▶ LAKI TISA (900,000) Akiba 105,000 Rejesho kila mwezi 50,000 kwa miezi 18
▶ MILIONI MOJA (1,000,000) Akiba ni 150,000 Rejesho 50,000 kwa miezi 20
▶ MILIONI MBILI (2,000,000) Akiba ni 250,000 Rejesho 100,000 kwa miezi 20
▶ MILIONI TATU (3,000,000) Akiba ni 350,000 Rejesho 150,000 kwa miezi 20
▶ MILIONI NNE (4,000,000) Akiba ni 450,000 Rejesho 200,000 kwa miezi 20
▶ MILIONI TANO (5,000,000) Akiba ni 550,000 Rejesho 250,000 kwa miezi 20
▶ Hauruhusiwi kujaza fomu ya kuomba mkopo ikiwa haujakubaliana na utaratibu wa huduma zetu , Ili kuepusha usumbufu kwa wateja wengine kuweza kuipata huduma kwa wakati. Endapo fomu yako imekubaliwa ni lazima ulipie Kiasi cha akiba & Bima ndipo uweze kupokea mkopo wako.